FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

vibertz na Tate Mkuu hawa ndio wana majibu maana waliunga mkono Gamondi kufukuzwa.

Huo mkono mliotumia kuunga hoja mawazo mbovu ya Hersi kumtimua Gamondi ni heri mngeutumia kuungia mboga ona sasa mna aibika.
Binafsi sijutii Gamondi kutimuliwa. Alikuwa ni kocha mzuri. Hilo halina ubishi. Ila kwa kushindwa kwake kusimamia utimamu wa baadhi ya wachezaji pamoja na nidhamu ya timu, kulimuondolea sifa ya kuwa kocha bora.
 
Kama huyu kocha aliyempokea Gamondi atakuwa na uwezo mdogo, sioni kama itakuwa ni dhambi kuungana na hao wenzangu. Ila ninaunga mkono kutimuliwa kwake.
Mechi ya leo mpo kimya hakuna aliye doubt uwezo wa kocha.

Zaidi nimeona wenzako wakitoa kongole kwa Musonda na Duke Abuya.

Kocha wamemsahau. Watakuja kumtaja siku mkipoteza game.

Na hata wale waliokuwa wanamuunga mkono kwenye mechi ya juzi mliyopoteza. Walimtetea kuwa ni mgeni hawajui wachezaji.

Ila leo mmeshinda sijui tayari wameridhika kuwa Kocha tayari kawajua wachezaji???
 
Simple logic virce versa.. kwamba huwezi kumlisha mtu halafu akuletee jeuri. Yaani boss wako umfedheheshe 😂utakula wapi!??
Kwahiyo mdhamini ndiye anayeendeshea timu!?
Unataka kusema mechi zote Namungo alizofungwa na Yanga ni kuwa Namungo ilikua inadhaminiwa na GSM!??
Aiseeee doooh!
 
Mechi ya leo mpo kimya hakuna aliye doubt uwezo wa kocha.

Zaidi nimeona wenzako wakitoa kongole kwa Musonda na Duke Abuya.

Kocha wamemsahau. Watakuja kumtaja siku mkipoteza game.

Na hata wale waliokuwa wanamuunga mkono kwenye mechi ya juzi mliyopoteza. Walimtetea kuwa ni mgeni hawajui wachezaji.

Ila leo mmeshinda sijui tayari wameridhika kuwa Kocha tayari kawajua wachezaji???
Sisi tupo na wachezaji wetu, ila tunajua kuna wenzetu wapo serious na matumaini na Aziz Ki na kocha wao
 
Ukiachana na derby ambayo Ina mambo mengi ndani yake, hoja inamashiko🤔 mbona yanga haifungwi na timu inazozidhamini!?, Ila inafungwa na timu ambazo hawajazidhamini!?.

Yaani nikulishe na Bado uniletee jeuri😂😂 lazima uwe mpole.

Hata hivyo Leo ilikuwa wastaafu kwa wastaafu
Kwani GSM anaifadhili Simba?
 
Hii game nilishamaliza kwa sababu za Bantu Lady 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂 wataelewa taratibu min -me haya wale wa Ban kiko wapi? Ubao unasoma ngapi? 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
 
Back
Top Bottom