FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Goli la Musonda
Your browser is not able to display this video.
 
Mayanga yamechoma sindano tayari hapa yameanza kuchangamka
 
Katika vitu sikufurahishwa navyo ni pamoja na Gamond kuondoka. Hii habari ya Gamond imewafurahisha wana Simba wengi sana. Mpaka sasa mna nafasi kubwa kutufunga round ya pili kwa haya mawenge tunayopitia sasa hivi.

Makosa makubwa sana tumefanya
Simba kumfunga Yanga simpi nafasi kubwa.

Simba ilishindwa kumfunga Yanga kipindi ambacho Yanga inatembeza bakuli. Goli ka Morrison

Sare ya goli mbili ambayo Balama Mapinduzi anapiga shuti kali. Naamini Yanga huwa inajiandaa mara mia kwenye mechi ya Derby kuliko mechi yake yeyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…