Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tumia nguvu ufeYaani hata kushangilia kwa nguvu unashindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia nguvu ufeYaani hata kushangilia kwa nguvu unashindwa.
NMG 0 Mpinzani wao 1.Tupeni Matokeo, Si Tulioko Mbali, Sio Umbea tu
Kocha vipi?Yanga inashinda leo tulia
tayari tumewalamba!Mbona nasikia kelele huko
Acha tuoneSioni mkuu zaidi ya kuongezwa
Simba kumfunga Yanga simpi nafasi kubwa.Katika vitu sikufurahishwa navyo ni pamoja na Gamond kuondoka. Hii habari ya Gamond imewafurahisha wana Simba wengi sana. Mpaka sasa mna nafasi kubwa kutufunga round ya pili kwa haya mawenge tunayopitia sasa hivi.
Makosa makubwa sana tumefanya
Duh chamaNamungo msituangushe😂😂
Goli moja linaweza kuwaletea stress tenaUtopolo leo watalala macho kisa furaha