FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

Simple logic virce versa.. kwamba huwezi kumlisha mtu halafu akuletee jeuri. Yaani boss wako umfedheheshe 😂utakula wapi!??
Wakati fulani muwe mnajitahidi kuficha mapungufu yenu ya kibinadamu.

Kwa mfano timu yako ya simba nayo inamlisha huyo Namungo? Maana ilimfunga pia kwenye uwanja wake wa Majaliwa. Mashujaa na KMC nao wanamlisha huyo Namungo? Maana walimfunga pia walipokutana naye!
 
Huu ndio msimamo wa ligi tangu jana

Namungo ambayo imeleta matumaini kwa wadau ndio hiyo hapo nyanda za chini kusini ikiwa na alama 9.

Aiseee kweli faraja inatafutwa kwa namna nyingi sana.
View attachment 3166000
Uzuri Pambajiji hipo chini ya Namungo na ndiyo iliwapa points 3 kwa mbinde watu.
 
Watu mnawivu sana na wanaume wenzenu.
 
Kocha Bado simwelewii,Chama hapaswi kuanza njee kisa Kii. Dube hatufai tenaaa!
 
Kwahiyo mdhamini ndiye anayeendeshea timu!?
Unataka kusema mechi zote Namungo alizofungwa na Yanga ni kuwa Namungo ilikua inadhaminiwa na GSM!??
Aiseeee doooh!
Achana naye huyo, halafu hajajua hata Mikia wanadhaminiwa na GSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…