FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

Natamani nijue kikosi cha leo cha Simba Sc. Nisaidieni...Onyango yupo au bado majeruhi? Morison je?
 
Simba wasipobadilika leo matokeo hamna
Leo kocha kaamua kuwapanga wote wawili, ili kukwepa lawama ili isiwe baadaye matokeo mabaya yakipatikana tuwanze kulalamika "aah angeanza mugalu", "angeanza kagere"
 
Natamani nijue kikosi cha leo cha Simba Sc. Nisaidieni...Onyango yupo au bado majeruhi? Morison je?
Kikosi kipo hapo juu. Onyango ni majeruhi na Chama ana matatizo ya kifamilia.
 
Mapaka yameingia CHUMBANI kutoka yanashindwa.....

Japo mapema ila leo HAMTOKI huko Majaliwa Stadium.....
 
Back
Top Bottom