FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

FT: Namungo FC 1-3 Simba SC | VPL | Majaliwa Stadium

Wengi hawaamini
Wengi wanashangaa
Wengi Watabisha
Wengi Watahoji wakitaka Ushahidi
Wengi watasema ni hujuma

Lakini ukweli Namungo wanaongoza kwa Goli moja dhidi ya Mnyama Simba

Maoni yenu
 
Namungo moto mliouwasha ... Utawachoma wenyewe..niko kazini
JamiiForums-783221018_400x400.jpg
 
Namungo mnaweza! Nawatakia ushindi wowote ule. Mpaka sasa mnaongoza! Mkomae hivyo hivyo mpaka dk ya 90!
 
Nadhan utazimia Zaid baadae usiku utakapo sikia CHELSEA anaongoza 5-0 halafu kipind cha Kwanza
 
Back
Top Bottom