Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hapana situmii hiyo kitu kabisa nimeachaLeo vipi mbona unaccoment vimbwanga tu,au K-Vant bado ipo kumkichwa?[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana situmii hiyo kitu kabisa nimeachaLeo vipi mbona unaccoment vimbwanga tu,au K-Vant bado ipo kumkichwa?[emoji23][emoji23]
3-1Mi nasimama pale palw pa goli 2
Ruangwa wachawi sanaa kule
Ajabu Simba mnyama kufungwa! Sio kawaidaKipi cha ajabu sasa hapo? Mpira umeisha?
Ngoja uone sasa Namungo mma akiita maaii45' kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Majaliwa
Ametoka Mzamir na ameingia Bernard Morrison upande wa Simba SC
[emoji102]Baada ya michuano ya Kimataifa kwa Simba SC, naona sasa umehamia Namungo kwa kuwa timu yako tia tia maji [emoji2957]
Mkuu Kichwa Kichafu endelea kuteseka
Kwani imefungwa? Huwezi kusema imefungwa wakati mechi haijaisha. Kutangulia kwa Namungo kupata goli la kuongoza haijustify kushindwa kwa SimbaAjabu Simba mnyama kufungwa! Sio kawaida
Ila kilinge chako maranyingi kwenye michezo huwa kinafeli sana,shida huwa iko wapi?Ngoja uone sasa Namungo mma akiita maaii
Sijawahi kufeli ni utabiri tu ulichelewa.. Kumbuka ni UTABIRIIla kilinge chako maranyingi kwenye michezo huwa kinafeli sana,shida huwa iko wapi?
Kumbuka huu ni mchezo hakuna bingwa lolote laweza kutokeaWengi hawaamini
Wengi wanashangaa
Wengi Watabisha
Wengi Watahoji wakitaka Ushahidi
Wengi watasema ni hujuma
Lakini ukweli Namungo wanaongoza kwa Goli moja dhidi ya Mnyama Simba
Maoni yenu
[emoji34][emoji35][emoji35][emoji15][emoji15][emoji20][emoji20][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]55' Kagereeeeeeee loooooo.. Anapoteza nafasi ya wazi yeye na golikipa
Ilikuwa nafasi nzuri kwa Simba na salama kwa Namungo
Kikosi full tukikosa basi tenaAmetoka Kagere na ameingia John Bocco upande wa Simba SC
AfazaliAmetoka Kagere na ameingia John Bocco upande wa Simba SC
Angekua mugalu critics wangesema sana55' Kagereeeeeeee loooooo.. Anapoteza nafasi ya wazi yeye na golikipa
Ilikuwa nafasi nzuri kwa Simba na salama kwa Namungo
Lets see