Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Ulimaanisha 1-3?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimaanisha 1-3?
[emoji817][emoji736]Lets see
Una makengeza au una chongo!?[emoji872][emoji15][emoji15][emoji15][emoji34][emoji35]Ulimaanisha 1-3?
Kudadadeki,,misumali Luhangwa kwa misumali nawakubali,kama walimuwashia moshi ndani ya gari mwendazake kwanini washindwe kwa Kagere!!55' Kagereeeeeeee loooooo.. Anapoteza nafasi ya wazi yeye na golikipa
Ilikuwa nafasi nzuri kwa Simba na salama kwa Namungo
Sina. Mfalme wa nyika atufungwe na ka Namungo 3?Una makengeza au una chongo!?[emoji872][emoji15][emoji15][emoji15][emoji34][emoji35]
Simba waongeze morali...wamepoaaKudadadeki,,misumali Luhangwa kwa misumali nawakubali,kama walimuwashia moshi ndani ya gari mwendazake kwanini washindwe kwa Kagere!!
Angalau goli lirudi,tupo nyuma kwa goli moja.mambo ya pila biriani kama tushampiga mtu tatu bila hapo sawa.Ebana huyu mugalu ana mautundu, ule mpira nilijua umetoka
Mtakufa na pressure bure nyie watu.55' Kagereeeeeeee loooooo.. Anapoteza nafasi ya wazi yeye na golikipa
Ilikuwa nafasi nzuri kwa Simba na salama kwa Namungo
Mbona hueleweki mkuu68' Ametoka Bwalya na ameingia Dilunga upande wa Simba SC
Namungo FC 0-1 Simba SC
[emoji23][emoji23]Mtakufa na pressure bure nyie watu.
Muga,Muga,,,Mugaluuuuuu goooooooooaaal Goooooooaaal