Na wewe ndio wale wale nini?Sasa wewe si mjanja wa kijiji mambo ya mjini utayajulia wapi [emoji16]
Bado mbili Azizi apige Hattrick Akae pale juu sasa [emoji23][emoji23]Kono la nyani loading [emoji1787][emoji1787]
Bado hujasema,hatuna kazi mbovuMtoto wa kipa kalipiwa ada tayari
Nimekuambia bado hujasema [emoji2957]Mtoto wa kipa kalipiwa ada tayari
Kabeeesaa.Kono la nyani loading π€£π€£
We unaonaje ndugu kolo [emoji2]Na wewe ndio wale wale nini?
Itakuwa wamewapulizia madawa ya usingizi wachezaji wa NAMUNGOMtoto wa kipa kalipiwa ada tayari
Mkuu tukuinue???Namungo hamjawahi kuniangusha
Kalio si wakwenu mikiaRefa haoni izi OFFSIDE kabsa TFF wali angalie hili swala vyura hawa wezi kua kama man City
Kwa hizi goal kwahiyo kihasibu tuna debit au tuna creditπ€£π€£π€£π€£Oyooooo. Ule muda wa kihasibu ushawadia best.
Aziz Ki keshaweka goli huko. πππ