Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oyooooo. Ule muda wa kihasibu ushawadia best.
Aziz Ki keshaweka goli huko. 😂😂😂
Aziz Ki keshaweka goli huko. 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ndio wale wale nini?Sasa wewe si mjanja wa kijiji mambo ya mjini utayajulia wapi [emoji16]
Bado mbili Azizi apige Hattrick Akae pale juu sasa [emoji23][emoji23]Kono la nyani loading [emoji1787][emoji1787]
Bado hujasema,hatuna kazi mbovuMtoto wa kipa kalipiwa ada tayari
Nimekuambia bado hujasema [emoji2957]Mtoto wa kipa kalipiwa ada tayari
Kabeeesaa.Kono la nyani loading 🤣🤣
We unaonaje ndugu kolo [emoji2]Na wewe ndio wale wale nini?
Itakuwa wamewapulizia madawa ya usingizi wachezaji wa NAMUNGOMtoto wa kipa kalipiwa ada tayari
Mkuu tukuinue???Namungo hamjawahi kuniangusha
Kalio si wakwenu mikiaRefa haoni izi OFFSIDE kabsa TFF wali angalie hili swala vyura hawa wezi kua kama man City
Kwa hizi goal kwahiyo kihasibu tuna debit au tuna credit🤣🤣🤣🤣Oyooooo. Ule muda wa kihasibu ushawadia best.
Aziz Ki keshaweka goli huko. 😂😂😂