FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Mmiliki wa Yanga mzee wa bahasha leo lazima ziwe nono zaidi kwasababu baadhi ya wachezaji tegemezi hawapo.
 
Wananchi sina imani na hili game kama tutashinda
 
Kila laheri chama la ushindi πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
MetachaaaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hawa kwa mazindiko ya kijini waliyonayo ni kujichosha tuu kuwatakia kupigwa...
Ila itakua safi sana wakipigwa...
 
Sisi Makolo tupo mafichoni tutajitokeza humu pale matokeo yatakapokuwa mazuri upande wetu..
Tupo kuwasindikiza Utomajini...sema tusipokuwepo uzi unakua doro mnoo.
 
Kuna nini mbona vyura hawaongei..nyie mnaoangalia gemu...
 
Watuwekee matokeo kwenye kichwa cha mada hapo[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…