Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wamedroo kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesare kiume sanaaaa!Naomba kutangaza kwamba kwa namna mpira ulivyochezwa huko ugenini Ruangwa na kwa namna wachezaji wetu walivyopambana na kujitoa kiume, Kwakweli sina ninachowadai, Wamepambana sana.
Ninawasihi mashabiki wenzangu twendeni Airport tukawapokee mashujaa wetu hawa, Kwani wamepambana kiume yaani kufa kupona.
Simba Guvu Moya
Tuvute subra tukiwa tume cross our fingersNipo Mkuu. Shukran. 🙏🙏
Saa hii tunasubiria points zetu tatu hapo 16:00hrs kutoka kwa Singida Big Stars.
Kwa hiyo unataka kutuambia ukipewa namba pale Simba utajituma mpaka MO akuongezee mshahara siyo?Kinacho wapa Yanga matokeo ni kujituma muda wote.
Baada ya kukosa Kombe a ligi kwa miaka minne, Yanga wamesajiri kwa umakini na wanajituma kila mechi na kupata matokeo.
Kwa hili nawapa pongezi na wanaenda kuchukua kombe la Shirikisho.
Simba wanacheza kwa kujiamini sana na hawajitumi.
Kuna wachezaji Simba wanakula mshahala wa bure kabisa na wakiingia kucheza hawana maajabu.
Kamati ya usajiri ya Simba Mungu anaiona.
Kwa hilo la kufuzu mtani sina shaka. Safar hii namuona Nabi le profesee akilaumu hadi watoto wa kuokota mpira. Atanena kwa kizaramoHahahaaa! Lol.
Haya Mtani ikitokea mukafuzu tutakutana. 🤣🤣
Hahahaa! Lol.Kwa hilo la kufuzu mtani sina shaka. Safar hii namuona Nabi le profesee akilaumu hadi watoto wa kuokota mpira. Atanena kwa kizaramo
😂😅😃