FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

Wamesare kiume sanaaaa!
Azam TV live coverage inawahusu,why not?.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia ukipewa namba pale Simba utajituma mpaka MO akuongezee mshahara siyo?
 
Hii timu ishazoea kucheza na giants wa football Africa akina Al Ahaly, RS Bekane, Wydad, Mamelody Sundowns, Orlando Pirates, ES Tunis, sasa hawa Namungo ukiwafunga utajulikana wapi.
 
Hahahaaa! Lol.

Haya Mtani ikitokea mukafuzu tutakutana. 🀣🀣
Kwa hilo la kufuzu mtani sina shaka. Safar hii namuona Nabi le profesee akilaumu hadi watoto wa kuokota mpira. Atanena kwa kizaramo
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜ƒ
 
Kwa hilo la kufuzu mtani sina shaka. Safar hii namuona Nabi le profesee akilaumu hadi watoto wa kuokota mpira. Atanena kwa kizaramo
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜ƒ
Hahahaa! Lol.

Hivi Final yenyewe ndo itachezwa Mkoa gani Mtani?
 
Tunaomba mechi kati ya hii Rotation ya wafa kiume na Yanga Veterans uone Yanga isivo na mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…