FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

Simba ilianza kutia presha kwenye lango la Namungo.
 
Saido alikuwa kwenye njia kwenda kufunga bao lakini safu ya ulinzi ya timu ya Namungo ilikaa imara na kufanikiwa kumzuia
 
Mwageni updates, Tanesco washafanya yao tayari
 
Saido alikuwa kwenye njia kwenda kufunga bao lakini safu ya ulinzi ya timu ya Namungo ilikaa imara na kufanikiwa kumzuia
Angejaribu tuu yeye mwenyewe...
So far wapo vzr
 
Hii mechi haina kabisa mzuka kutoka kwa mashabiki wa simba. Sijui ni kwa sababu matokeo tayari yanafahamika!!!
 
Ila wachezaji wa simba wanatumikishwa aisee! Kila mechi asilimia zaidi ya 80 ya wachezaji wanaoanza, unakuta ni wale wale!
Umeona ujisemeshe japo negative...sasa hapo zaiid ya baleke joash na saidoo nani mwingine??
 
Kwahiyo huu uzi mmeukopi huko na kuuleta huku sio..!!?
 
Wekeni updates Tanesco wameshafanya yao huku
 
Dakika 20'
0-0
Israel Mwenda anafanyia faulo, ni freekick Simba inapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…