Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Niambie wewe uliye zaliwa zamani sana.Umezaliwa lini? Usikute jana
Utaendelea kuumia kwa siku nyingi zijazo, gari limewaka hakuna wa kutuzuia.Upuuuzi mtupuuuuu
Bila shaka una enjoy ball mkubwa.Mwanzo alikuwa ni Makambo tukasema hamna kitu, saizi ni Mayele tena mazingira yale yale naye kakosa
Tuseme bahati mbaya au tutumie maneno yale yale?
Upuuuzi narudia tena.Utaendelea kuumia kwa siku nyingi zijazo, gari limewaka hakuna wa kutuzuia.
Yap, kutoka kwa refaBila shaka una enjoy ball mkubwa.
Six point gape, lazima mchanganyikiwe.Upuuuzi narudia tena.
Kwa timu zote tuHaya makosa ya kibinadamu huwa ni kwa timu ndogo tu
Ni upuuzi hata nyie mnajuaSix point gape, lazima mchanganyikiwe.
Na kwa kipa wa GeitaYap, kutoka kwa refa
Penati ya kipuuzi.Six point gape, lazima mchanganyikiwe.
Ya Mchongo, lakini refarii na wasaidizi wake watahukumiwa kivyao..Penati ya kipuuzi.
Marefa nao binadamu kaka.Yap, kutoka kwa refa