FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Ni kweli haikuwa penati lakini tukizungumzia tukio hili la kubebwa tusisahau pia yale magoli halali hasa ya mayele yaliyokataliwa huko nyuma
Dhambi haipimwi kwa dhambi nyenzake boss
 
Waamuzi wetu sijui upepo hawana wakuendana na kasi ya mpira.
 
Mashabiki wa simba acheni kulia lia! Msisahau mechi ijayo mnacheza na Mtibwa ambayo iko moto kweli kweli! Badala ya kutafakari shida zenu, mko busy kuiombea Yanga njaa!
 
Yanga kubebwa ni kawaida yao.

Kuna mechi mpira ulitoka nje, wakaurudisha na kufunga goli na Refa akalikubali.
 
Inaonyesha wewe🦁
 
Naona mmejisahaulisha goli la mkude dhidi ya prison,makolo mkae kwa kutulia ubingwa ndio mmeshaukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…