FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Kwa staili hii ya mbeleko, unbeaten itaendelea hadi 2025
 
Bonge la penati toka kwa BM 33
Kuna watu wanaumia kuliko Geita Gold [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Refa kashakunja kibahashishi chake kafunika tuta [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikama lile alilofunga Mkude dhidi ya Prison.
 
Back
Top Bottom