FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Unbeaten kumbe ilikua inakuuma 😀,historia imewekwa na tulijua tu ipo siku tutafungwa na hatimaye siku yenyewe imekua leo,that its football,lina matokeo matatu
Unachokosea ni kuleta ucheshi kuonesha kuwa hujaumia

Ulijua utafungwa ila hukutegemea utafungwa na timu inayoshuka daraja

Lomalisa vipi?

Mi niliwaambia msipagawe na viwango vya msimu, mkapapalika kila siku mnakuja na nyuzi mpya kumsifia

Haya Kisinda ambaye mlikuwa mnasema ame recover naye vipi?

Au mlimaanisha ali recover data alizofuta unexpectedly?

Azizi Ki so milikuwa mnampa sifa ana mikimbio, enhee kaitumiaje?

Na yule black Maguire naskia mipira inampita juu hana habari na tege lake watu wanashauri awe anaingia na parachuti kufanya blocking kwenye mipira ya juu.

Nabi naye naskia alichachawa mpaka akapata yellow card, sasa alichachawa ili iweje kama walijua unbeaten haiwezi ku last forever?
 
Baambie baambiee
 
Kocha alipanga kikosi dhaifu sana kipindi cha kwanza. Wachezaji walikuwa wanacheza kama wako mazoezini.

Kiukweli wamestahili kabisa kufungwa.
Hatutaki kujieleza sana, mlisema hakuna wa kumfunga Yanga labda mahakama.

Kwahivyo ipokeeni tu hii hukumu
 
Hawa jamaa ilifikia mahala walikua wanakufuru kwamba hakuna wa kuwafunga dunia hii na peponi. Nilishangaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…