Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23]Muhindi baada ya mechi ya YangaView attachment 2430943
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Muhindi baada ya mechi ya YangaView attachment 2430943
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mods tunaomba msiitoe hii red icon ya live tunataka kila mtu asherekee kwa namna yake
Shangwe Ziendelee Mwenyekiti.[emoji28]Na
Nami nakuchabo nakuchabo
Kwa mbaaali kabisa. [emoji23]
Mtani Kalpana yametufika wenzakoMtanii nakuona nakuonaaaa unakula tuuu wali wa mbarali hahahah
Unachokosea ni kuleta ucheshi kuonesha kuwa hujaumiaUnbeaten kumbe ilikua inakuuma 😀,historia imewekwa na tulijua tu ipo siku tutafungwa na hatimaye siku yenyewe imekua leo,that its football,lina matokeo matatu
Nasikia Nabi alitaka kulimwa kadi alikua analeta vurugu
Baambie baambieeUnachokosea ni kuleta ucheshi kuonesha kuwa hujaumia
Ulijua utafungwa ila hukutegemea utafungwa na timu inayoshuka daraja
Lomalisa vipi?
Mi niliwaambia msipagawe na viwanho vya msimu, mkapapalika kila siku mnakuja na nyuzi mpya
Haya Kisinda ambaye mlikuwa mnasema ame recover naye vipi?
Au mliaanisha ali recover data alizofuta unexpectedly?
Azizi Ki so milikuwa mnampa sifa ana mikimbio, enhee kaitumiaje?
Na yule black Maguire naskia mipira inampita juu hana habari na tege lake watu wanashauri awe anaingia na parachuti kufanya blocking kwenye mipira ya juu.
Nabi naye naskia alichachawa mpaka akapata yellow card, sasa alichachawa ili iweje kama walijua unbeaten haiwezi ku last forever?
Hatutaki kujieleza sana, mlisema hakuna wa kumfunga Yanga labda mahakama.Kocha alipanga kikosi dhaifu sana kipindi cha kwanza. Wachezaji walikuwa wanacheza kama wako mazoezini.
Kiukweli wamestahili kabisa kufungwa.
Shangwe non stop, maisha yenyewe kimo cha emolo wa pepe kalle haya. 😂Shangwe Ziendelee Mwenyekiti.[emoji28]
Tukitoka hapa twende kule WC...
Ila bora Ihefu mtani, kuliko tungefungwa nanyinyi. Hawa haiumi sana kuliko rekodi yetu ya unbeaten mngetuharibia nyinyi... mnegeongeaPoleni jamani ila hongereni kutofungwa mfululizo mara 49 sio mchezo....ila mmeharibu sana kufungwa na Ihefu
Hawa jamaa ilifikia mahala walikua wanakufuru kwamba hakuna wa kuwafunga dunia hii na peponi. Nilishangaa sana.Unachokosea ni kuleta ucheshi kuonesha kuwa hujaumia
Ulijua utafungwa ila hukutegemea utafungwa na timu inayoshuka daraja
Lomalisa vipi?
Mi niliwaambia msipagawe na viwanho vya msimu, mkapapalika kila siku mnakuja na nyuzi mpya
Haya Kisinda ambaye mlikuwa mnasema ame recover naye vipi?
Au mliaanisha ali recover data alizofuta unexpectedly?
Azizi Ki so milikuwa mnampa sifa ana mikimbio, enhee kaitumiaje?
Na yule black Maguire naskia mipira inampita juu hana habari na tege lake watu wanashauri awe anaingia na parachuti kufanya blocking kwenye mipira ya juu.
Nabi naye naskia alichachawa mpaka akapata yellow card, sasa alichachawa ili iweje kama walijua unbeaten haiwezi ku last forever?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Shangwe non stop, maisha yenyewe kimo cha emolo wa pepe kalle haya. [emoji23]
Mnoooo mjini pasingetosha...ila na nyie bwana mlivimba sana mkawadharau ihefuIla bora Ihefu mtani, kuliko tungefungwa nanyinyi. Hawa haiumi sana kuliko rekodi yetu ya unbeaten mngetuharibia nyinyi... mnegeongea