FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Naam wazee wa unbiten kwema humu
 
Mnoooo mjini pasingetosha...ila na nyie bwana mlivimba sana mkawadharau ihefu
Hili nakubaliana nawewe, waliona ni timu ya kuteleza nayo... Nao Ihefu ikafanyia kazi udhaifu huo, mambo yakawa siyo mambo...
Ihefu imeifunga Yanga na kuharibu rekodi yetu... maisha yanaenda kasi mtani... Tuiombee Senegal tu sasa
 
Hawa jamaa ilifikia mahala walikua wanakufuru kwamba hakuna wa kuwafunga dunia hii na peponi. Nilishangaa sana.
Hao waache yani hii kwao ni pigo kubwa sana

Waache walete ucheshi wao ku pretend hawajaumia ila hii itaenda kutengeneza mpasuko wasipokaa proper

Walifika hatua ya kuanza kubeza mafanikio ya Simba eti "Simba imeshindwa kufuzu nusu fainali kwasababu imemkosa Striker hatari kama Mayele"

Haya leo naskia alicheza

Sijaangalia mpira ila usikute hata on target hakupata, AziI Ki ndio wanampaisha kinoma kisa aliwakombea pesa zao

Haya naye kawasidia nini?

Watulie tu kimya watuache tuwaaambie madhaifu kwenye yale ambayo walikuwa wanatutambia
 
Tunakwenda kuanza Moja na tutakwenda Kuvunja un beaten yetu ya 49 games.
 
Nathemaaa, wamekiona cha moto, ha ha ha ha ha , 😂 😆 😄 🤣 😅 😉
 
[emoji23][emoji1787]
 
Tunakwenda kuanza Moja na tutakwenda Kuvunja un beaten yetu ya 49 games.
Uanze na nani wakat mmeshavunja masharti ya mganga wenu wa kutumia jezi nyeusi
Mtachapika mpaka maji muite mma
 
Hili nakubaliana nawewe, waliona ni timu ya kuteleza nayo... Nao Ihefu ikafanyia kazi udhaifu huo, mambo yakawa siyo mambo...
Ihefu imeifunga Yanga na kuharibu rekodi yetu... maisha yanaenda kasi mtani... Tuiombee Senegal tu sasa
Kweli hivi mechi saa ngapi kule?
 
Tutaanza kuliamini li Gentamycine sasa hahahhah
 
Hili nakubaliana nawewe, waliona ni timu ya kuteleza nayo... Nao Ihefu ikafanyia kazi udhaifu huo, mambo yakawa siyo mambo...
Ihefu imeifunga Yanga na kuharibu rekodi yetu... maisha yanaenda kasi mtani... Tuiombee Senegal tu sasa
Au pochi nene la mihogo fc wamelikataaa ihefu wakaamua wame mchele wao tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…