FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Kwa kweli Nabi ni bomu.. alishindwa kutupeleka sisi utopolo makundi ya kombe la mabingwa, na sasa tunafungwa na mshuka daraja mtarajiwa! Bora tumrudishe Mwambusi wetu
 
Ilikuwa ni lazima hii siku ifike Mtani. Sema nini kilichonikera ni vile timu yenyewe iliyotulaza na viatu ilikuwa Mkiani kabisa yaani. [emoji854]

But all in all tunaganga yajayo sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lia taratibu mtani, punguza sauti. Poleeee
 
Si mbaya mpira siku zote, una matokeo matatu. Kufunga, kufungwa na kutoka sare.
Mpira pia hautabiriki, kama sasa kwenye WC. Tumeyapokea matokeo 🤨
Ulipaswa ujue hivyo mapema!! mambo ya unbeaten yasingekuwa yanaongewa! Ona sasa ihefu alichokifanya!! Nani alitarajia ihefu kufanya yale iliyoyafanya?
 
I
Kumbukuzi🤣🤣🤣Ihefu mafundi sana bhana Basi hawa tukicheza nao,tuwe tunazilinda ngoko zao zaidi,tusije wavunja kwato bure tukaingia kwenye lawama,iweje kila siku Ihefu,Ihefu,ihefuuu🤔
 
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Screenshots_2023-10-04-19-08-35.jpg
JamiiForums1502682596.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ihefu mume wa UTOPOLO
 
Back
Top Bottom