Ukifungwa wewe ndio unaelewa kuwa mpira una matokeo matatu?
Ikifungwa Simba, inakuwa Simba mbovu, Kanoute sio Central defender mzuri, Simba hamna viwango ni kelele tu, Mgunda sio kocha
Halafu wewe ukifungwa ionekane bahati mbaya, unataka upate treatment za kipekee ubembelezwe sio?
Kusema nilikuwa na kiu kuiona Yanga inafungwa Yes ni kweli nakubaliana na wewe. Napenda sana kuona nyinyi mnafanya hovyo kama ambavyo nyinyi mmekuwa miki wish dhidi yetu
Mayele ni striker mkali anapiga hatrick, yuko wapi leo kwani hakucheza?
Tuisila ameanza kurejea kwenye form yake. Fomu gani? Ya nida au?
Aucho ni bonge la Defense midfield, ndio kwanza Nabi akaona huyu ni moja ya sababu ya kufanya tufungwe ikabidi amtoe akachome mahindi.
Na bado mmepewa na bao la offside vinginevyo mlikuwa mnakufa 2 mtungi