Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko poaaaaa? Lete maneno.Wale wanaolalamikia jezi nyeusi wapo humu?
Tunaendelezea tulipoishia.
Kwishaaaaa habariiiii yako, afu nakutafutaaaa sanaaaa wee.Nawatakia Wananchi ushindi mnono.
Mtani leta manenooooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imefikia hatua kuna watu wakiona nyuzi za Yanga wanaziogopa kama ukoma. 😀😀
Kila la kheri Timu ya Wananchi.
"DaimaMbeleNyumaMwiko.
Walienda wapi?😳Dharau ndizo ambazo zimetuponza leo. Na tumestahili kabisa kufungwa. Mfano goli la pili, wachezaji karibia wote pale nyuma hawakuwepo mchezoni!
Kwani we hupati notifications za nyuzi mpya zinazoanziahwa hapa na mashabiki wa Uto?
Mwenzako kasema kufungwa kwa leo kumesababishwa na kocha Nabi kuamuanzisha benchi Azizi Ki afu we unasema hamna anayelaumu
Usitake kudanganya umma kuwa matokeo haya wewe hayakuumi
Mlitoa sare na Club Africain lakini mlipagawa utadhani mmeshushwa daraja
Leo hii mmefungwa eti unajidai mmeichukulia hiyo kama kitu cha kawaida.
Nani asiyewajua ataaamini hiyo siasa?
Na club bingwa Africa wachezeshe waamuzi wa Fifa.Matokeo halisi ni 3-0 kama mechi ingechezeshwa na wale waamuzi wa viwango wa FIFA.
Sio wewe ndio unaetakiwa kunywa maana sauti hadi imekukauka sababu ya kelele za furaha ya kufungwa kwa Yanga leo huko mtaani kwakoKunywa maji, pumzika.
Mzee wa miatircle wewe endelea tu kuwa mwl wa primary mpira umekupitia mbali sana unafosi tu,hamna shabiki asieumia na matokeo mabaya ya uwanjani ya timu yake ila inategemea na uelewa wa huyo mtu pia,muelewa football anaelewa matokeo 3 ya huu mchezo then maisha yanaendelea,binafsi nilijua iko siku tutafungwa na aitokua mwisho tutafungwa na kufungwa tena maana mpira ndivyo ulivyo sasa wewe umejikita hapa na kumquote kila mtu kisa Yanga kafungwa as ndio mara ya kwanza vile kufungwa,it seems ulikua na kiu ya kuona Yanga ikifungwa na leo utolala kwa furahaKwani we hupati notifications za nyuzi mpya zinazoanziahwa hapa na mashabiki wa Uto?
Mwenzako kasema kufungwa kwa leo kumesababishwa na kocha Nabi kuamuanzisha benchi Azizi Ki afu we unasema hamna anayelaumu
Usitake kudanganya umma kuwa matokeo haya wewe hayakuumi
Mlitoa sare na Club Africain lakini mlipagawa utadhani mmeshushwa daraja
Leo hii mmefungwa eti unajidai mmeichukulia hiyo kama kitu cha kawaida.
Nani asiyewajua ataaamini hiyo siasa?
Ukifungwa wewe ndio unaelewa kuwa mpira una matokeo matatu?Mzee wa miatircle wewe endelea tu kuwa mwl wa primary mpira umekupitia mbali sana unafosi tu,hamna shabiki asieumia na matokeo mabaya ya uwanjani ya timu yake ila inategemea na uelewa wa huyo mtu pia,muelewa football anaelewa matokeo 3 ya huu mchezo then maisha yanaendelea,binafsi nilijua iko siku tutafungwa na aitokua mwisho tutafungwa na kufungwa tena maana mpira ndivyo ulivyo sasa wewe umejikita hapa na kumquote kila mtu kisa Yanga kafungwa as ndio mara ya kwanza vile kufungwa,it seems ulikua na kiu ya kuona Yanga ikifungwa na leo utolala kwa furaha
Afu sikucheki vizuri, kumbe huyo kwenye Avatar yako ni Nabi?Mzee wa miatircle wewe endelea tu kuwa mwl wa primary mpira umekupitia mbali sana unafosi tu,hamna shabiki asieumia na matokeo mabaya ya uwanjani ya timu yake ila inategemea na uelewa wa huyo mtu pia,muelewa football anaelewa matokeo 3 ya huu mchezo then maisha yanaendelea,binafsi nilijua iko siku tutafungwa na aitokua mwisho tutafungwa na kufungwa tena maana mpira ndivyo ulivyo sasa wewe umejikita hapa na kumquote kila mtu kisa Yanga kafungwa as ndio mara ya kwanza vile kufungwa,it seems ulikua na kiu ya kuona Yanga ikifungwa na leo utolala kwa furaha
Eti Ratiba imekuwa nzito, hivi visingizio haviwezi kukubaliwa na irrational
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waelezeeeeeeeeeUkifungwa wewe ndio unaelewa kuwa mpira una matokeo matatu?
Ikifungwa Simba, inakuwa Simba mbovu, Kanoute sio Central defender mzuri, Simba hamna viwango ni kelele tu, Mgunda sio kocha
Halafu wewe ukifungwa ionekane bahati mbaya, unataka upate treatment za kipekee ubembelezwe sio?
Kusema nilikuwa na kiu kuiona Yanga inafungwa ni kweli nakubaliana na wewe. Napenda sana kuona nyinyi mnafanya hovyo kama ambavyo nyinyi mmekuwa miki wish dhidi yetu
Mayele ni striker mkali anapiga hatrick, yuko wapi leo kwani hakucheza?
Tuisila ameanza kurejea kwenye form yake. Fomu gani? Ya nida au?
Aucho ni bonge la Defense midfield, ndio kwanza Nabi akaona huyu ni moja ya sababu ya kufanya tufungwe ikabidi amtoe akachome mahindi.
Na bado mmepewa na bao la offside vinginevyo mlikuwa mnakufa 2 mtungi
Haya wananchi wameshinda wahi ukachukue zawadi yakoNawatakia Wananchi ushindi mnono.
Kivipi tena jamani mie sio ganga wala simba mie mpenzi wa mpira bwa a....ilikuwaje tena unbeaten ikavunjwamzabzab wee mtu njoo huku, qumamaqe.
Leo mmekojolewa nyieeee, pumbaaavu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahasha imebuuuuuuuuuuuuuumaaaaaaaaaaaUtopooloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo