FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Kivipi tena jamani mie sio ganga wala simba mie mpenzi wa mpira bwa a....ilikuwaje tena unbeaten ikavunjwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una geuka leo eeeeh? Umesahau ile siku ya [emoji629]na simba? Wee n utopoloooo uskataeeeee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ah wee mie sina ujinga wakupenda timu za miamala....naburudishaga genge tuu la wapenda mpira. Sasa nipo zangu qatar naangalia wanaojua mpira.
Sasa duh safari yakutoka mbeya mpaka dar imekuwa chungu. Naona mwambusi kaamua kulipiza kisasi kwa yale waliyomtendea
 
Dharau zimetuponza, dah!

Hata hivyo hakuna timu duniani iliyofika unbeaten 50 acheni hashuo makolo
Dada mbona unatufanya sisi watoto wadogo Kwamba atujui chochote na atufwatilii mpira uko duniani ivi ni kweli akuna timu iliyofika unbeaten 50 kweli kweli au iyo dunia ya wapi?

Au ni haji manara kubwa la maadui na record zake za uongo kakuaminisha.??

Au ni dunia ya pale avic town
au jangwani moja pale depotivo la utopolo kama ni dunia iyo ni kweli lakini dunia hii tunayoishi leo sio kweli

aiseeeee what is this au kipigo kule mbalali kimekua overdose
Any way nikusahihishe japo utachekwa
AC Milan Wana shikilia record ya dunia
na unbeaten 58 ok.
Tena sio unbeaten za mchongo mchongo
Bila Shaka umeelewa.
 
Povu kali sana bahati mbaya nguo zote nimefua mie kwa hiyo baki nalo mwenyeweeeeeeeeeee
 
Ukifungwa wewe ndio unaelewa kuwa mpira una matokeo matatu?

Ikifungwa Simba, inakuwa Simba mbovu, Kanoute sio Central defender mzuri, Simba hamna viwango ni kelele tu, Mgunda sio kocha

Halafu wewe ukifungwa ionekane bahati mbaya, unataka upate treatment za kipekee ubembelezwe sio?

Kusema nilikuwa na kiu kuiona Yanga inafungwa Yes ni kweli nakubaliana na wewe. Napenda sana kuona nyinyi mnafanya hovyo kama ambavyo nyinyi mmekuwa miki wish dhidi yetu

Mayele ni striker mkali anapiga hatrick, yuko wapi leo kwani hakucheza?

Tuisila ameanza kurejea kwenye form yake. Fomu gani? Ya nida au?

Aucho ni bonge la Defense midfield, ndio kwanza Nabi akaona huyu ni moja ya sababu ya kufanya tufungwe ikabidi amtoe akachome mahindi.

Na bado mmepewa na bao la offside vinginevyo mlikuwa mnakufa 2 mtungi
Hii kauli ilitoka hata kabla atujafikisha unbeatean 40
 
Attachments

  • 385105657.mp4
    1.2 MB
Screenshot_20221130-064459_Instagram.jpg

Ndembendembeeee
 
Hata Simba ilitaka kushuka daraja tukaiokowa, nadhani umri wako huwezi kulijuwa hili.
Kumbe mmezoea kupigwa na washuka daraja ila sio Simba..hamko serious na huo mwaka haupo Simba ilitaka kushuka daraja.
 
Umri wako huwezi kuyajuwa haya, umeijuwa Simba ya Mo Dewji.

Mwaka 1989 Yanga ndio iliibeba Simba mechi ya mwisho isishuke daraja, waulize mikia wenzako wenye umri kukuzidi wakwambie.
Mlifungwa kwa uwezo
 
Hii kauli ilitoka hata kabla atujafikisha unbeatean 40
Kuna muda mlikuwa mnatamba humu kuwa Yanga kufungwa mpaka mahakamani, jana mmefungwa mnaanza kutuletea maneno ya kujifariji

Hata msingetoa kauli bado isinge maanisha hamtafungwa

Ishu kubwa sio kufungwa, ishu ni kufungwa na timu ya class gani

Unafungwa na timu inayopambania isishuke daraja?
 
Ah wee mie sina ujinga wakupenda timu za miamala....naburudishaga genge tuu la wapenda mpira. Sasa nipo zangu qatar naangalia wanaojua mpira.
Sasa duh safari yakutoka mbeya mpaka dar imekuwa chungu. Naona mwambusi kaamua kulipiza kisasi kwa yale waliyomtendea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda kujizima data weee, mcxcieeeeew

Nimecheka mnooo.
 
Naona unga FC mmepata pa kujifichia wiki nzima
Mihogo Fc Na Kabwili Fc mmepigwa mande mbele na nyumaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Niko powa kabisa, hatuna cha kuwadai wachezaji wetu na kocha, unbeaten 49 na kuingia makundi CAF confederation, na kutofungwa na Simba tuko very comfortable.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ya CAF makund, na kutofungwa na simba yanakujajee hapaaaa? Ko kipigo cha jana kime ku overdose hivyo?

Poleeeeeeh lia taratibu afu futa machozi, kunywa maji mengi na upumzike.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umri wako huwezi kuyajuwa haya, umeijuwa Simba ya Mo Dewji.

Mwaka 1989 Yanga ndio iliibeba Simba mechi ya mwisho isishuke daraja, waulize mikia wenzako wenye umri kukuzidi wakwambie.
Mlifungwa kwa uwezo, usileteee uongo wako hapa wee baba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duh hii lugha sijazoeana nayo kijana. Mpira mmeugeuza wa upinde kila kona mnawaza uchafu
Mihogo Fc Na Kabwili Fc mmepigwa mande mbele na nyumaaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Back
Top Bottom