Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Refa maliza mpiraaDakika 4 kati ya 5 za nyongeza Ihefu 2 Yanga 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa maliza mpiraaDakika 4 kati ya 5 za nyongeza Ihefu 2 Yanga 1
Haiwezi kuniuma hata kidogo. Mpira una matokeo matatu. Ihefu wamecheza kwa nidhamu, wametumia nafasi! Wameshinda.Kwani wewe roho haikuumi? Unatafurahi kuipoteza hii game?
Kwaiyo ihefu kabebwa leo?Hata Azam inabebwa na yenyewe
Zumbe N'zezeWangekuwa ndiyo mashabiki wa simba, muda huu kelele za kumkataa kocha na wachezaji zingetawala.
Sio kwamba mahakama pekee ndo iliyokuwa na uwezo wa kuifunga Yanga Sc?Nitulie nini sasa!! Mimi kama shabiki wa Yanga, nakubaliana na matokeo. Lilikuwa ni suala tu la muda.
KwishaaaaMuda kweli hauendi
Ndio katoa bahasha, hata mechi ya juzi Azam na Coastal ilikua sawa tuuKwaiyo ihefu kabebwa leo?
Ni kweli ulichosema mtani, bila kusahau kuwa hata lile goli moja mlilofunga leo halikuwa la halali.Haiwezi kuniuma hata kidogo. Mpira una matokeo matatu. Ihefu wamecheza kwa nidhamu, wametumia nafasi! Wameshinda.
Hongera nyingi kwao.