FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Ihefu wamekata 'sealed'...😂😂😂

Hatimaye wameachia baada ya kubana kwa kipindi kirefu....😂😂😂...
 
Haiwezi kuniuma hata kidogo. Mpira una matokeo matatu. Ihefu wamecheza kwa nidhamu, wametumia nafasi! Wameshinda.

Hongera nyingi kwao.
Ni kweli ulichosema mtani, bila kusahau kuwa hata lile goli moja mlilofunga leo halikuwa la halali.
 
Back
Top Bottom