FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Hayo ni maneno ya kuchombeza tu. Ila ukweli ndiyo huo. Hata kama Yanga ingekuwa unbeaten kwa mechi 100, bado ingetokea siku ingefungwa.

Binafsi naona ni sawa tu kufungwa. Maana walicheza mpira wa hovyo kuanzia mwanzo.
Jitahidi inayokuja ushinde mtani, laasivyo[emoji23].
 
Leo unacomment huku vidole vinatetemeka kwa ghadhabu ya kukataliwa muamala wenu
Mimi ni shabiki, lakini pia nimewahi kuwa mchezaji wa mpira wa miguu, na pia kocha! Hivyo siwezi kuwa na ghadhabu yoyote ile.

Ukweli ni kwamba leo Yanga walicheza chini ya kiwango! Na ndiyo maana haijashangaza Ihefu kutokea nyuma, na kuwafunga.
 
Sijataka hata kujisumbua kusoma ulichoandika

Ila leo nina furaha mtani
 
Back
Top Bottom