Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Byuti x 10¹⁰
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra imetokaOverconfidence imetuponza.
Nipo hapa kukukumbatiaMbona natetemekaaa
Walitoa Ila Ihefu wamewapiga na hela wamekula.Sio hamkutoa hela
Wanangu wa IHEFU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi inayokuja ushinde mtani, laasivyo[emoji23].Hayo ni maneno ya kuchombeza tu. Ila ukweli ndiyo huo. Hata kama Yanga ingekuwa unbeaten kwa mechi 100, bado ingetokea siku ingefungwa.
Binafsi naona ni sawa tu kufungwa. Maana walicheza mpira wa hovyo kuanzia mwanzo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni shabiki, lakini pia nimewahi kuwa mchezaji wa mpira wa miguu, na pia kocha! Hivyo siwezi kuwa na ghadhabu yoyote ile.Leo unacomment huku vidole vinatetemeka kwa ghadhabu ya kukataliwa muamala wenu
Kutokana na usumbufu anaopata hawez kuwakataa wote jamnBikra imetoka
Sijataka hata kujisumbua kusoma ulichoandikaMimi ni shabiki, lakini pia nimewahi kuwa mchezaji wa mpira wa miguu, na pia kocha! Hivyo siwezi kuwa na ghadhabu yoyote ile.
Ukweli ni kwamba leo Yanga walicheza chini ya kiwango! Na ndiyo maana haijashangaza Ihefu kutokea nyuma, na kuwafunga.
Tulitoa hela kidogo kama mliyo toa nyinyi na Mbeya City na ndio maana tukapewa goli la offside kama lenu.Sio hamkutoa hela