FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Yanga mmezoea mihogo Michele umewashinda..umevimbiwa
 
Mbona natetemekaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nicheke kwanza...

Unajua nasikia makelele najiuliza ni Yanga wanaifunga Ihefu magoli yasiyohesabika au ni gani?

Sasa nakuja kuangalia Updates huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe mambo ni tofauti[emoji28][emoji28][emoji28]Nyie....
 
Back
Top Bottom