Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ungekuwa karibu hahahaa au basi, wana Lunyasi tunacheka unbeaten kupigwa na katimu kalioko mkianiNdo mmeishaaaaa nilisema akitokea wa kuwafunga mmeishaaaa mwiko umeishaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa karibu hahahaa au basi, wana Lunyasi tunacheka unbeaten kupigwa na katimu kalioko mkianiNdo mmeishaaaaa nilisema akitokea wa kuwafunga mmeishaaaa mwiko umeishaaa
Hata wafungwe, watajua wenyewe. Maana huo ndiyo utamu wenyewe wa mpira wa miguu.Jitahidi inayokuja ushinde mtani, laasivyo[emoji23].
Ipi sasa, ya kule walikoziba mwikoBikra imetoka
Walivaa jezi zao nyeusi bebeNdo mmeishaaaaa nilisema akitokea wa kuwafunga mmeishaaaa mwiko umeishaaa
ulikuwa unaota?Ihefu kama hawaamini hivi...ila yanga watafosi
Ina maana Yanga ni Feisal ?.. anyway...hongereni kwa match 49 unbeaten.Ukw?eli ni kwamba leo Yanga walicheza chini ya kiwango! Na ndiyo maana haijashangaza Ihefu kutokea nyuma, na kuwafunga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona natetemekaaa
Ingekuwa enzi zile za unbeaten usingeandika hivi.Hata wafungwe, watajua wenyewe. Maana huo ndiyo utamu wenyewe wa mpira wa miguu.
Naambiwa watu wametetemeshwaaa[emoji1787][emoji1787]Nyieee kuna niniiii
Nimekupenda kwa utabiri wa leo aiseeNilisema mapema kabisaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We itakua mchawiNilisema mapema kabisaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa mechi 20 tu ndio wamepata matokeo kihalali kabisa mkuuIna maana Yanga ni Feisal ?.. anyway...hongereni kwa match 49 unbeaten.
Nimeshindwa hata kuwaita mweeNaambiwa watu wametetemeshwaaa[emoji1787][emoji1787]