FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

Mlinda mlango anakamata mpira wa freekick uliopigwa na Chama
 
Huna hoja mzee
 
Kennedy Juma anaingia kuchukua nafasi ya Enonga
 
Kuna makosa yanafanywa mara kwa mara na wachezaji na benchi la ufundi lakini kiuhalisia hayapaswi kufanywa kwa timu kubwa kama Simba. Too much back pass, kunyoosha mikono kama ishara ya faul na kuacha kuzuia mpira walidhani refa atapiga filimbi, kutojua kuusoma mchezo na kufanya sub zenye manufaa zaidi, kujisahau ndani ya uwanja na kuridhika haraka.
 
Nadhani goli 3 zinatosha ktk kipindi hiki kigumu cha Msiba.
 
Kuna dalili ya clean sheet kuchafuliwa hapa. Wachezaji wa Simba wanaridhika haraka sana. Wajifunze kwa Miqueson, Kapombe na Bocco. Hawa wachezaji hawanaga kuridhika hata timu iwe inaongoza kwa goli 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…