FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

Tunachofanya muda huu ni kuwaonyesha tu kwamba champions league inachezwa objectively, what matters the most is 3 points no matter how u play,, tumerudi kwenye ligi tunampiga mtu na tunaupiga mwingi..wachambuzi wajifunze kuweka akiba ya maneno ..

Kuoga mnaoga ila mjini hamuendi [emoji38][emoji38]
 
Mimi kwa uzalendo kabisa naombea kila tiny ishinde mechi zake ligi iishe kwa haraka.
 
Kwa mtu anayejuwa mpira SAA hizi lazima atakuwa ZBC 2 kuangalia mpira wa kisiasa mpira mwingi unavyopigwa na Mamelodi Sundowns, Al Ahaly ulimi nje, 3 kwa 2 game is on.

Endeleeni kuangalia haya matakataka yenu ya Manungu.

Simba hii mkipangwa robo fainali na Mamelodi Sundowns msipeleke timu uwanjani, wako fire kuliko Raja Casablanca.
 
Saidooo anapiga shuti lakini linakwemda nje ya lango

Ilikuwa ni shambulizi la hatari mno
 
Nimemkumbuka Bruno Fernandes
 
4-2Mzee😄😄😄😄😄
 
Na wewe unayejua mpira huku umefwata nini?
 
Mkuu Dr PhD wa Utopolo... Mbona tuko huku pamoja
 
Wewe jamaa huna akili na hiyo Phd ya kupika mandazi. Nani kakuita kwenye huu uzi?
 
Mohamed Mussa katoka kupiga shuti lakini kipa alikaa vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…