Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manungu kwanza. Mamelodi tutamalizana naye robo fainali. Al Ahly hawana hamu na Simba. Tulishamalizana nao kwa Mkapa mwaka juzi.
Usiombe ukutane na hao the BraziliansManungu kwanza. Mamelodi tutamalizana naye robo fainali. Al Ahly hawana hamu na Simba. Tulishamalizana nao kwa Mkapa mwaka juzi.
La HeriThis is simba
Uache upendeleo@Scars
Wewe Ulimpiga ngapi huyo mfiwaBora tujifariji kwa kuwapiga wafiwa
Mi mwenzio ni simba haswaaa,ila hawa wazulu siwataki kabisa huwa wanapiga nyingi sana hawaManungu kwanza. Mamelodi tutamalizana naye robo fainali. Al Ahly hawana hamu na Simba. Tulishamalizana nao kwa Mkapa mwaka juzi.
Kesha Chezea 3 : 1Unajua Lkn Anachofanywa Al Ahly Muda Huu Au Unabwata Tu
HahahahUache upendeleo@Scars
Hao jamaa achana nao, unawafuata kwao wanakupiga 8, wanakuja kwako wanakupiga Hamsa ..Mi mwenzio ni simba haswaaa,ila hawa wazulu siwataki kabisa huwa wanapiga nyingi sana hawa
[emoji1787][emoji23]Hapa hatuzungumzii mikimbio. Tunazungumzia kuhusu hat trick