Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Wanapita kimya kimya. Teh teh.Uzi umejificha huu jmn wanathimba siwaonii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapita kimya kimya. Teh teh.Uzi umejificha huu jmn wanathimba siwaonii
Wewe upo wapi? Uwanjani au nje ya Uwanja.Uwanja umejaa viongozi wa Simba badala ya Mashabiki
Bora kitu kuliko kukosa kituHalitufai hilo. 😅
Hahahaa! Sawa Mtani.Bora kitu kuliko kukosa kitu
Tulieni sisi hatupoagi wala hatuboiHawawezi kuja hata uwavute na winchi
Wanajisahaulisha walifikaje huko walipo..Bado Simba anatishaaa...
Nyie yange yange mtateseka sana
Mnaouliza ni mashindano gani..ni yale kama yenu ya Losers..
Umesusiwa timu peke yakoVinye Fc katika ubora wao
Kolo kaa kwa kutuliaVinye Fc katika ubora wao