FT: NBC Premier League | Simba SC 2- 0 Kagera Sugar | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Vyura ni bora wangeongeza maombi Simba akabaki CAF angalau wangeepukana na hili balaa.
ona sasa Simba nguvu zote zimerudi kwenye ligi ya NBC kaanza kusambaza kipigo kwa mmoja baada ya mmoja. mtaa kwa mtaa.
 
Tunafanya mazoezi ya Champions Ligi msimu ujao.

Tuna uhakika wa kuingia tumejibeba na tukabeba na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…