Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
- Thread starter
- #21
Coastal union usikubali wakande hao wazee wa robo [emoji16]
Toa uchawi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coastal union usikubali wakande hao wazee wa robo [emoji16]
Karibu,mengine mwachie MunguKwa hiyo nijilipue 2.5 over game yote
Hawajielewi,Azam wangekuwa watu wa mpira kweli wangejua mechi muhimu leo mojawapo ni ya KMC vs Mbeya City. Mechi hii inainfluence mechi zaidi ya 3 ikiwemo ya Simba vs Coastal, ya Yanga vs Prisons na ya Geita. Badala yake wanaonyesha mechi isiyo na maana ya Dodoma Jiji vs. Ruvu.
Afanye kweli tupate helaSaido fanya inavyotakiwa
Hii game ni kama ipo fixed ngoja tuone nasikia coastal union atashinda 3-2 [emoji28][emoji28][emoji28] wacha niwahi oddsMi mechi nzima nimeweka 3.5 naimani itatoa, pia kwa yanga kule lazima watafungana tu maana Prison hayuko vibaya kufumania net za mpinzani hata kama atafungwa.
Kikubwa mechi itoe goli 4.5Hii game ni kama ipo fixed ngoja tuone nasikia coastal union atashinda 3-2 [emoji28][emoji28][emoji28] wacha niwahi odds