FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Azam wangekuwa watu wa mpira kweli wangejua mechi muhimu leo mojawapo ni ya KMC vs Mbeya City. Mechi hii inainfluence mechi zaidi ya 3 ikiwemo ya Simba vs Coastal, ya Yanga vs Prisons na ya Geita. Badala yake wanaonyesha mechi isiyo na maana ya Dodoma Jiji vs. Ruvu.
 
Hawajielewi,
 
Mi mechi nzima nimeweka 3.5 naimani itatoa, pia kwa yanga kule lazima watafungana tu maana Prison hayuko vibaya kufumania net za mpinzani hata kama atafungwa.
Hii game ni kama ipo fixed ngoja tuone nasikia coastal union atashinda 3-2 [emoji28][emoji28][emoji28] wacha niwahi odds
 
Back
Top Bottom