SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Inawezekana ni fitna za Yanga 🤣😂🤣 maana bila matokeo ya mechi hiyo ni ngumu kupanga matokeo mechi ya Simba na Coastal.Naona hata haieleweki kama inachezwa ama laa? Nikiangalia livescore naona haijaanza bado