FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Naona hata haieleweki kama inachezwa ama laa? Nikiangalia livescore naona haijaanza bado
Inawezekana ni fitna za Yanga 🤣😂🤣 maana bila matokeo ya mechi hiyo ni ngumu kupanga matokeo mechi ya Simba na Coastal.
 
Saido inabidi apumzishwe baada ya ile kazi kubwa ya kufunga goli la kwanza.
 
Back
Top Bottom