FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

Leo kipigo lazima kiwahusu ,all the best polisi TZ
 
Kwanini Timu Zingine Zipanguwe kucheza saa nane mchana jamaniii sio hakii jua ni kalii mno viongozii waliangaliee hilii kwa manufaa ya ligi yetu mbona zinapo cheza simba au yanga hazijawahii pangiwa muda huo ili swala linanikera sana mimi
Mzungu wa simba akipigwa jua atakufa,albino manara akipigwa jua atakuwa haoni jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…