FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

Nimejiuliza sana leo, Aziz Ki alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, askari polisi walikuwa wanachukua mpira kilaiini, Simba tulieni, dawa yao inachemka hao, mechi ya Simba vs yanga ni ushirikina tu, we timu imfunge Simba halafu icheze mpira mbovu na polisi? Umeona wapi, kesho ndio mtamuona Dejan na Okwa balaa lao
mna mioyo migumu nyie watu!! Muulize Tshabalala Azizi Ki ni nani?
 
Mchezaji mdomo haufumbi kila wakati nzi wanamdandia.
 
Hawa jamaa wakichezs na simba kama wanacheza na mdrid vile. wangekuwa wanacheza hivi kwente CAF wangebeba kombe.
 
Wanasifia vitu vya aje?

Pole sana mkuu. Pole sana asee. Haya maneno akikusikia Tshabalala atakuwamba makofi aseee
 
Nimejiuliza sana leo, Aziz Ki alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, askari polisi walikuwa wanachukua mpira kilaiini, Simba tulieni, dawa yao inachemka hao...
Nyie ndo sio washirikina au sio? Ile fine ya CAF kule kusini mwa Afrika ilikuwa ya nini? [emoji1]
 
Nimejiuliza sana leo, Aziz Ki alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, askari polisi walikuwa wanachukua mpira kilaiini, ...
Usiulize leo amefanya nini.

Jiulize kwanza Who is Aziz Ki?

Umesahau mara hii hata wiki bado alichowafanya? Na baado...na kwa Mayele mlikua mnaongea hivyo hivyo sasa mnahama na hapo mnapotaka kuhamia ndio hatari zaidi.

Huyo ndiye mchezaji bora ligi ya Ivory coast kwa kina Didier drogba 2022...halafu unaleta pumba usiku wote huu.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nimejiuliza sana leo, Aziz Ki alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, askari polisi walikuwa wanachukua mpira kilaiini, Simba tulieni, dawa yao inachemka hao, mechi ya Simba vs yanga ni ushirikina tu, we timu imfunge Simba halafu icheze mpira mbovu na polisi? Umeona wapi, kesho ndio mtamuona Dejan na Okwa balaa lao
Tshabalala akikusikia atasikitika sana.
 
Kikosi cha polisi kimebadilika sana wale wachezaji wa maana wote hawapo,timu za taasisi ni jinga sana kila msimu wanabadilisha wachezaji,kocha na benchi la ufundi....badala ya kujenga timu....Moja ya timu ilivyokuwa na vijana wenye vipaji ni polisi Tanzania una mzungumzia.

Mtu kama Kassim Hatuna,Datius peter,Tariq Simba,,Tariq seif kiakala,Daruwesh Saliboko,na wengine walioondoka walikuwa wanacheza soka safi la kuvutia na wanacheza kitimu....siamini kabisa kama hawa maafande watafanya vizuri msimu huu.

Hizo timu huwa zinachukua wachezaji wa kawaida na kuachana na wale ambao wameshakuwa viwango vyao na huwa wanaanza upya tena kutokana na malipo hawana usiriaz.
 
Back
Top Bottom