Twamo
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 2,884
- 5,016
mna mioyo migumu nyie watu!! Muulize Tshabalala Azizi Ki ni nani?Nimejiuliza sana leo, Aziz Ki alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, askari polisi walikuwa wanachukua mpira kilaiini, Simba tulieni, dawa yao inachemka hao, mechi ya Simba vs yanga ni ushirikina tu, we timu imfunge Simba halafu icheze mpira mbovu na polisi? Umeona wapi, kesho ndio mtamuona Dejan na Okwa balaa lao