FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

Nipo mkuu.
Yaani tufungwe mtusakame, tushinde mtusakame pia. Yaani kesho mkipata sare kesho mtajuta. Hata mkikimbia jf siku mkiingia mtakutana na madongo yenu yanawasubiri.
Sema nao sema nao.....wewe nakupa nafasi ya Afisa Habari na Uhamsishaji...
 
Japo tumeshinda ila yule refa sio kabisa aisee.

Leo ilikua Polisi & refa Vs yanga.
Jamaa linapeta kichizi, goli la mayele kakataa, mayele kamtoka beki kaweka boli chini yani daah.

Sio huyo tu hata refa aliechezesha Singida big stars na prisons nae changamoto. Ukiachana na makosa ya kibinadamu kuna kaupendelea big stars wamekapata japo wameupiga mwingi.
 
Refa leo aligeuka beki.
 
Nimejiuliza sana leo, Aziz Ki alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani, askari polisi walikuwa wanachukua mpira kilaiini, Simba tulieni, dawa yao inachemka hao, mechi ya Simba vs yanga ni ushirikina tu, we timu imfunge Simba halafu icheze mpira mbovu na polisi? Umeona wapi, kesho ndio mtamuona Dejan na Okwa balaa lao
 
Wazee wa kambaki ha haha haa. Yani Aziza ni mdomo tuu na meno unaona.
 
Back
Top Bottom