FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

Nyie Yanga hamna kituu nawaambia ni ka upepo tuuu mngekua na kitu mngekionyesha toka half ya mwanzo timu mpk isubiri ikanywe energy drink mapumziko ndo irudi ifunge khaaaa?
 
Nyie makolo nani amewakataza kunywa "eneji"? Si boss wenu anamiliki kiwanda?

Nendeni mkanywe, ikibidi muogelee kabisa. Ila tukikutana Lupaso, mnachezea mshedede!
 
Mnapigwa kimoko cha dharau halafu mkija mnafunga viwili vya uchovu
 
Asante sana Yanga yangu, Point 3 Muhimu
yangasc-20220816-0001.jpg
 
Aisee yule Refa ni mpuuzi mnooo. Mwanzo kabisa wa ligi marefa wanaanza kupuyanga namna hii.. hovyo kabisaa
 
Mchezo umemshinda maana alikuwa anaonekana kutamani yanga apoteze ama kutotoa maamuzi ya kufanya yanga aonekane anabebwa
 
Back
Top Bottom