Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Achukue namba ya Rashford kabisa huyuHuyu Dube anastahili kucheza Man U.
Nimemsomea mama yangu hii comment kachekaaaaπ€£Kipofu kaona mwezi
Sidhani, hata magoli wanayofunga hayajakaa kisindano sindano, unawaona kabisa wanavyopambana.Hii mechi kuna namna tumefanya ili tuwafurahishe mashabiki wetu na kupunguza kelele
Huyo anayemuombea kashika nini? Siyo glass yenye bia hiyo?
Kama wanavyofanya wakikutana na sisi, wanasimba sjui tupo vipi yanHii mechi kuna namna tumefanya ili tuwafurahishe mashabiki wetu na kupunguza kelele
Endelea kujifariji hivyo hivyo eti walegeze, wewe ndio unaakisi usemi wa RageSafi sana mashujaa legezeni hivyo hivyo, hatimaye ubora wa yanga umerudi kwahiyo dirisha dogo hakuna haja ya kuboresha kikosi, tutakuja kuanza kutafuta mchawi tena baada ya dirisha dogo kufungwa
Wananchi tunahitaji π2-0 FT yanga πβ¨π
Acha kusumbua watuModerator na Maxence Melo na Active na Paw na JamiiForums inamaana hamjui kuwa hii mechi iko live muda huu?
Matokeo ya Azam Tv wanayoyaonyesha yanatosha, kwani hujui Yanga anaongoza?Moderator na Maxence Melo na Active na Paw na JamiiForums inamaana hamjui kuwa hii mechi iko live muda huu?