Embu kelele.Moderator na Maxence Melo na Active na Paw na JamiiForums inamaana hamjui kuwa hii mechi iko live muda huu?
Mashujaa wakawe na huruma kidogo leo
Kwa hiyo hicho kinachochezwa na timu yako unaridhika kabisa na unaamini ukikipaste kwenye champions league ndiyo kitakutoa mkiani!?Kama wanavyofanya wakikutana na sisi, wanasimba sjui tupo vipi yan
Hakikusaidii acha kusumbua modsWand Tuekeeni kutufe cha live
Tyr wameweka wambie wakiondoe basiHakikusaidii acha kusumbua mods
Ha ha ha mkuu acha usumbufu tafadhaliTyr wameweka wambie wakiondoe basi
Yanga anashinda 5Kwa nilichokiona hizi dakika 10 za mwisho za kipindi cha kwanza....tusubirini second half tu. Kuna dalili za Mashujaa kupindua meza.
Kilichomponza kolo akala mkono ndiyo kitamponza mashujaaπ°πππππππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Young Africans SCπMashujaa FC
π 19.12.2024
π KMC Complex
π 10:00 Jioni
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3180197
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
View attachment 3180280