FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

Kuna improvement kwakweli, nadhani lile goli walilopata kule Congo limekuwa na maana kubwa sana kwenye saikolojia ya wachezaji wa Yanga. Imewaridisha Yanga kwenye hali na kujiamini
Acha tu, Mtani katisha, Dube katupia la tatu.
 
Mods wekeni idadi ya magoli hapo juu.. nataka makolo waisome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…