SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Kipa alifanya uzembe kidogo walikuwa wanakula 3-0
Jana kidogo tu ingekuwa 3-3Hata 4 zingefika kama siyo mambo ya Ki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa alifanya uzembe kidogo walikuwa wanakula 3-0
Jana kidogo tu ingekuwa 3-3Hata 4 zingefika kama siyo mambo ya Ki.
Ila nyanda yule duh...ikinyooshwa tu imo.Jana kidogo tu ingekuwa 3-3
Mashujaa wakawe na huruma kidogo leo
WalipambanaWhat a game it was!🔥🔥
Aisee!Yanga msijisahaulishe kule champions league kwenye kundi lenu mnaburuza mkia mkiwa na point nusu + nusu
Yanga bingwa [emoji172][emoji169]
Hao wetu tu.
Mbona kumepoa sana humu?, utopolo kuweni na amani leo mnashinda
Ni Mashujaa Hawezi Kwenda Live Ameona Anakufa Nyingi 😂
Ngapi ngapi jamani?
Kuna nini huko?