NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulisajili kikosi kizuri,pamoja na hari ya kubeba ubingwa lakini bado mashabiki wa Uto kwenye matumizi ya mitandao wapo shalow sana.huu uzi umesinzia sana au hamna hela ya kuweka mb watani?
[emoji22][emoji22][emoji23]Ila uyu Oscar mtu mbady.Tulisajili kikosi kizuri,
Tumefanikiwa kuitia kwapani ngao ya jamii
Tumefanikiwa kutinga nusu fainali ASFC
Tunakaribia kubeba ubingwa wa ligi kuu, hata Kama siyo Leo lakini tuna asilimia nyingi
Tumeweka record ya kutofungwa kwenye ligi.
Nini Tena kitatushangaza Wana jangwani , Kila kitu tunakiona ni Cha kawaida
Kosi la mabingwaKikosi Cha Coastal Union.View attachment 2262032
Jipeni faraja maana hamna kingine.[emoji22][emoji22][emoji23]Ila uyu Oscar mtu mbady.View attachment 2262022
Hili pira magimbi leoTunaweza kushuhudia soka la ovyo sana leo.
Maana wamekamiana sana.
Hawatashinda Hata Moja Niamini Mimi Mkuu.Hii Coastal Union inaogopesha! Katika mechi tatu, kuna moja watatuotea tu. Full vipaji!
Sasa timu bora inashindwaje kuchukua ubingwa?
Hawashangai mambo amayo ni obviouspamoja na hari ya kubeba ubingwa lakini bado mashabiki wa Uto kwenye matumizi ya mitandao wapo shalow sana.huu uzi umesinzia sana au hamna hela ya kuweka mb watani?
Hawa watoto wanaweza kutuchelewesha kunyanyua makwapa. Kwa siku za karibuni wamekuwa wakiupiga mpira mkubwa sana.Hawatashinda Hata Moja Niamini Mimi Mkuu.