Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Muache ajifariji.Sasa timu bora inashindwaje kuchukua ubingwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache ajifariji.Sasa timu bora inashindwaje kuchukua ubingwa?
Bado ni bila bila. Dk ya 31. Na hakuna mnyonge. Timu zote zinafanya mashambulizi ya kushtukiza.Matokeo vipi huko
hata majibu yenu tu yanaonyesha mlivyo shalow.Hawashangai mambo amayo ni obvious
[emoji23][emoji23]Mayeleee!!! Ametetema kwa mara nyingine tena. Yanga 1 Simba 'B' 0
Ndugu wa damu hawa,huko B,mbali sanaMayeleee!!! Ametetema kwa mara nyingine tena. Yanga 1 Simba 'B' 0
Leo kuna watu watajinyonga.Mayeleee!!! Ametetema kwa mara nyingine tena. Yanga 1 Simba 'B' 0
wafe kabisaaaaLeo kuna watu watajinyonga.
Huyu ni vvd mtupu yanga wametuletea vvd huyu sio job waache ujanjaHuyu Dickson Job ni sawa na Pascal Wawa wawili! Dogo anakaba mpaka kivuli!